u/4dEmU

WA Swahili na VITA

Kuna club flani wanangu jana walifika wakawekwa live kwamba waswahili hawatakikani humo ndani, first walipo landi walistopishwa na bouncer wakaambiwa waonge na madam flani, madam akadai kwamba waonyeshe ID. Walivyo mshow madam, akawapanga ati paka uwe 30 and above ndo uzame ndani, wakamuona bamkidi moja wa kizungu akizama so wakateta na ku mwambia madam "si yule ni bamkidi kama sisi", ndo madam akaamua kuwapaka live kwamba management imekataza waswahili ati wanapenda vita. kufwatilia ivi wakaskia kwamba kulikua na madogo wa majengo walikua huko last week waakaanzisha vita na pia naskia wakachafuana na mabouncer na kuroeka simu aa sahi waswahili wamepigwa X.

reddit.com
u/4dEmU — 4 days ago