u/6vilian

Sauti soul kwa hii track never disappointed.💯

Sauti soul kwa hii track never disappointed.💯

Kiza kinene is a song from Nandy featuring Sauti soul and the best track in one of my playlist.

u/6vilian — 3 days ago

Onlymoh

Onlymoh ndio the only kenya / mali rapper kwa kenyan music industry obvious they'll hate on him boyz akona fanbase ya wasee wao na bado kenyans sioni wakitoboa kumpull down💯💯

u/6vilian — 6 days ago
▲ 40 r/KeMusic

Kumbe Sewersydaa hukua na singles 😂😂

Mastaar ndio alifanya nijue uski sikkua najua 😂😂 sahi nkona mbili acha nipitie izo zingine nizicheki cheki😂😂

u/6vilian — 10 days ago
▲ 105 r/KeMusic

The Matenjagwo Album

Jina Matenjagwo ni ngori😂 lakini Kwa hii album mihh nmeenda kuskiza ma ft's kwanza hii ya toxic, moti, cods, sewer, scar, kapitani na Frank white singles zake ni badae na sio kwa ubaya nivenye primary na highschool nilitumia kamusi ya methali🤣😂💯✌🏾.

u/6vilian — 10 days ago

New Gen Artists Changed The Game

Sahi new artists have emerged with new sounds and flows na diamond simwoni top 10 except kwa boomplay ni poa tuendele ivo ivo game 90😂💯

reddit.com
u/6vilian — 11 days ago
▲ 47 r/KeMusic

SewerSydaa amekam na ubaya😂🤣

Hapa sioni kukiwa na Track 2 coz wehh😂 Ni mbaya😂💯

u/6vilian — 11 days ago