▲ 14 r/SharpBoys
OFM Jobs. Hizi Za OnlyFans
Last year Nilikuwa nafanya hii job ya kuuza mangwati za majuu. Mainly hao OnlyFans models. Nilikuwa na agency ilikuwa inanilipa almost 120K every 2 WEEKS. Imagine.
But tamaa ikazidi nikafumble and I lost that job pamoja na agency.
Since then life imekuwa ikinudinya sana,,,, My question is IS THERE ANYONE HERE MWENYE ANAFANYA IO KAZI????
Which agency are you using bana??
Siku izi sijai pata agency ata moja.. Nani anaweza kuwa anajua agency Ina hire AKi??
u/Chemical_Tiger4103 — 18 hours ago