Niliandika ujumbe huu kwa Kiingereza awali, lakini ni vyema pia kuandika kwa Kiswahili.
Ninaiishi Mwanza na nataka kununua laptop nzuri ya gaming kwa bei karibu TSh 2,000,000. Nitaitumia kucheza Rocket League, Fortnite na Valorant nikiitaka iwe na FPS nzuri.
Kuna mahali popote Mwanza naweza kuipata? Au ni bora kuinunua online? Bei za delivery kutoka Amazon ni ghali sana.
Msaada utathaminiwa, asante!