▲ 9 r/SharpBoys
Kuna msee ananidm aniuzie account ya data annotation na 150$
Hii ni kunyanyasa mlalahoi ama namna gani wadau. I'm very confident ametumia fullz kuunda.
Blunt boy
u/HandOverall3327 — 16 days ago
Kuna msee ananidm aniuzie account ya data annotation na 150$
Hii ni kunyanyasa mlalahoi ama namna gani wadau. I'm very confident ametumia fullz kuunda.
Blunt boy
Now that niko na half info eti ziko kazi, swali ni je, ni real docs mnatumia ama fake details? Kindly guys tusaidiane bana. Pesa tutaacha bado hii dunia😂🥲
Si mtu ajitolee anipee gig moja tu nilipe hata maji🥲🥲. Msikazie gig bana na wote tutadedi tuache pesa😂😂
Maisha hii Nairobi ni tricky bana. Niko na neighbour mwenye each day kitu evening hours anatoka kumop balcony then anatoka na gari yake majioni.
Since nihamia huku sijai ona yy akienda any job bana unlike me mwenye naenda kazi 9 to 5.
Mamae, si pia mm mnipee hata kama ni kazi moja tu ya kulipa hata bill ya maji.