u/Jina_Biggi

Mnisaidieee😢

So mi hukuwa na account local ya oneforma but sijawahiapply kazi huko. A few days ago I decided to apply na jana usiku I received an email eti nianze kazi. Kazi yenyewe ni ya ku-record videos but issue ni eti inafaa kufanywa na apple devices na mi sina any🤦‍♂️Inalipa $18 an hour na ni kama itaexpire tu. Mnisaidiee😣

reddit.com
u/Jina_Biggi — 7 days ago