u/ThriveBeyond-Co-Ke

Kuna kazi?

So I'm just chilling kwa kazi cyber nikifanya shughuli zangi za gigs na deals hapa na pale then a certain boy alimada high school last year akaenda Nairobi akajifunza Graphics designs basic akaingia, he's my boy. Akanishow vile anafanya kazi online ya wazungu online ya video editing nikaona rates kwa hii site nikashtuka. Na ako na contracts kadhaa. Mimi na tafuta za proxy kumbe kazi ziko Bora skills. Vijanaa tujitume.

u/ThriveBeyond-Co-Ke — 2 days ago