▲ 5 r/better_auth+1 crossposts

Supabase RLS and Better Auth

Hey guys,
So I’m building something and want to use Better Auth because it offers a variety of plugins (specifically organizations plugin which is critical for my app). The thing is by using Better Auth I kind of sacrifice using RLS in Supabase because it utilizes the auth.uid which is not passed by Better Auth.
My question is, is there a way of using Supabase RLS while using Better Auth as the authentication provider?

reddit.com
u/notZEPHR — 7 days ago

TTCL Fibre

Wadau inakuaje,
Nimeona niandike hii post kwa kiswahili ili iwe rahisi kuuliza, hii ni kwa ajili ya wale wadau ambao wanacheza game online kwenye pc au ps5 specifically FC 26 Ultimate Team so kwa wale ambao sio mnaweza msielewe frustration ila pengine mnaweza saidia.

So kwa wale gamers tuna kitu kinaitwa ping ambayo kwa TTCL na eneo nililopo (Dodoma) huwa napata 60-90ms. Hii sio ping ya kushangaza sana maana kuna wanangu wa dar ambao wanasema wao wanapata 50ms ila kwangu mimi inanitosha tu. Sasa mimi nina face challenges 2, ya kwanza ni kwamba kuna wakati (as we speak inatokea) ping inastuck kwenye 130ms kwaio game haichezeki kabisa (FC 26 Ultimate Team) na hiki kitu kimekua kikinisumbua sana kwasababu inaweza kuwa hivi hata wiki nzima. Challenge ya pili ni kwamba hata kama ping ikirudi vizuri bado game inakua iko slow sana yani wachezaji wanakua wazito balaa na hii ndo inatokeaga mara nyingi zaidi kuliko hata ile ya kwanza. Sasa kinachoniumiza ni kwamba most service agents ninaoongea nao nikipiga TTCL customer service wamezoea kupokea generic problems kama "Internet yangu haishiki kabisa" au "Internet inakata na kurudi" ila hawajui unapowaelekeza maswala ya ping maana as far as they are concerned internet inafanya kazi. Baada ya kuuliza marafiki wanaofanya kwenye field hizi pamoja na kutafuta online nimepata jibu kwamba ni swala la routing ambalo linasababisha hii ishu kutokea.
Nimejaribu kutafuta ISP wengine ambao naweza kuwatumia lakini ubaya ni kwamba kwa hapa Dodoma especially eneo ninaloishi hakuna ISP mwingine yoyote aliefika hivo sina option kabisa.

Sasa nimeandika hii post kuomba msaada kama utapatikana, je kuna mtu ambaye ana similar issues na pengine ana mawasiliano na mtu yeyote yule TTCL ambaye naweza kumwelezea hii ishu akanisaidia au njia nyingine tu ambayo naweza kufanya ili kusolve hii ishu?. Ninafahamu kwamba uwezekano upo maana kuna jamaa yangu ambaye anatumia fibre ya Savanna na ishu kama hii ikitokea huwa anawapigia simu na wanasolve within 5-10 minutes.

Any help will be appreciated.

reddit.com
u/notZEPHR — 9 days ago