
▲ 16 r/SharpBoys
Nani bado ajapata yake apaste 🙂
Hii balance naskia kugawana na mtu😆
u/Advanced_Toe6225 — 3 days ago

Hii balance naskia kugawana na mtu😆
Naishi Kwa marela mabombe uko Karen, wakanishow ati nipikie madogi omena ka dishi...imebidi kina Bruno wainame😭😭😂