▲ 1 r/Tanzanias
Millberry Copper Scrap
Habari zenu nyote... Ninatafuta Millberry Copper Scrap... Kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia kuipata au kujua bei kwa kila KG... Nitasaidia sana nikipata maelezo ya muuzaji pia. Asante.
u/AppleKiss14 — 13 days ago