▲ 2 r/u_Automatic_Secret_980+1 crossposts

Universal number

I have been trying to get this universal number proxxy but all in vain juu naoshwa tu manze Kuna msee anasema ksh2600 for number plus proxxy should I give it a try ama nitaoshwa tena? Any leads?

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 21 days ago
▲ 15 r/SharpBoys+1 crossposts

Kuwa sharp

It has come to my attention that kuwekewa na grants za majuu to African youth's to empower them waanze biashara za kujijenga manze na hamuwezi tu show hio mambo joh? Anyone with full information si atupee rada wenye tuko nje? Okolea bro

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 22 days ago

STAY SHARP

Kuna Hawa majamaa unaskia tu wanasema Canada type, if your have friends in Uruguay type Mimi hushangaa sna manze juu Kuna jamaa status zake hukuwa tu hivyo 2 year ako na Audi mbili na rent analipa kilimani ni nini hizo mnafanya majamaa niko ready kujua pia

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 24 days ago

Watu ni wajanja

People are farming karma this way anapost he's hiring then anasema upvote and comment interested juu wasee wengi wanadai hizi remote jobs wanafanya hivyo

(Kama uko na legit remote work nijenge manze )

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 25 days ago

[IF ANYONE IS HIRING]

If you have any remote work please dm me

I can work as a data entry , email support, social media manager, ai

Or if you have any other that you would like to share dm I'm ready to learn for new things

Any remote work available connect me

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 25 days ago

Hizi kazi za survey banaa mtu hupata aje nimejaribu napata account lakini nikifika kwa task natolewa ati I don't meet the qualifications kwani hupigwa aje (mnijengee gig manze nipate za rent)

reddit.com
u/Automatic_Secret_980 — 1 month ago