
▲ 8 r/254sum
Nmeamua kuwamotivate leo
Ushaikaa hivi Hadi ukajiuliza mbona watu hukua formal sana around wewe.Ni iyo uso unakunja most of the time inakufanya unakaa serious na inakua ngumu kwa watu kukuapproach .So smile more ☺️.live life to the fullest si we are just passing by 🤷😀
u/Civil_Tomatillo8877 — 6 days ago