u/Comfortable_Affect_6

Kuna time akina Mathe walijidanganya wakiwa chama ety wapande Cabbage juu iko in demand sana.

Mathe ni nani, alijaza our full 22 acres na cabbage.

Acha time ya kuharvest broker anunue na bei ya 800 per lorry( ile lorry ya mchanga), na hiyo time labour ni yako.

Mathe akaona hiyo kazi hawezi fanya , akasema kuna ng'ombe, mbuzi na kondoo zinaweza kula hizo cabbage.

Kumbe ata sisi tulikuwa tume combiniwa na ng'ombe .

Nakuambia mzae alikuwa anaskia ni time ya kuserve food anasema acha aende bafu, anaenda hivyo akilala.

Hadi weekend alikuwa anafika saa sita time mshakula. Yeh anakuja tu kulala.

Alafu ng'ombe zilikuwa zinaona mathe na gunia zinakimbia kujificha.

Kondoo nazo hazikubaki nyuma, zilikuwa zinaskia wheelbarrow ya mboga zinajifanya zimededi.

Karibu nihame hiyo familia. Hadi sistangu alikuwa ameenda kuolewa

reddit.com
u/Comfortable_Affect_6 — 22 days ago