Hey, 25M Nairobi hapa. Mimi si mtu wa long online talking stages zinaenda nowhere, so let me be straight.
Natafuta Dem within Nairobi mwenye ako down to actually link up, tu vibe, tuone kama kuna chemistry real life si hizi chats za “hey” kila siku bila direction.
Niko into gaming, movies/series, na exploring city,new food spots, na chilling tu kwa nice places. Basically good vibes tu, no stress energy. Napenda conversations zina flow naturally na watu wanaweza kuwa real wenyewe.
Niko 5’7/5’8 siko sure though, naezajirate a 8.5😄 confident na grounded, but for me attraction ni energy na how tuta click when tuko pamoja.
Kama uko Nairobi, uko fun, kidogo spontaneous, na uko down to actually meet (coffee, walk, ama anything lowkey),Dm tuone kama tuko same wavelength 😉