
DISCUSSION ON BONGO’S INTERVIEWS
Bongo bhana just imagine sasahivi waajiri walivyokua na roho za ukazaji hivi like seriously sales executives ni wakufanyishwa interviews tatu?
Aisee naomba online jobs nikomae na hizo maana hizi za interview mbili mbili hapana🙌🏼
Au mwenye mchongo wa ajira Dar naomba
u/Planer1234 — 16 hours ago