▲ 17 r/SharpBoys
Hii ni ya wale wa karma-farming, bwana sio lazima ukuje hapa ndo upandishe, join hizo communities za wazungu ya wanyama tafuta picha moja mbili Tatu hivi alafu ucrosspost kwa community ingine ya wanyama, post jioni lala wacha asubuhi simu ikuamshe upvotes na comments ikidai kukubeba venye ulitaka.
reddit.comu/RhubarbCommon9332 — 5 days ago