▲ 15 r/Tanzanias
App ya kutuma SMS moja kwa watu wengi (Android pekee)
Wazee kuna hii app nimetengeza, ni kwa ajili ya kutuma SMS moja kwa watu wengi. App hii inatumia bando la sms la kwenye mtandao wako kwa laini ilioko kwenye simu yako. Kama simu yako ina laini mbili, unaweza kuchagua 'Sim 1' ama 'Sim 2' itumike kutuma SMS hizo.
App hii ni bure kabisa na source code ipo Github kwa anaetaka kuongeza chochote.
Nilitengeza wakati nahitaji kutuma SMS ya mwaliko wa interview kwa candidate kama 500 hivi.
Link hii apa chini
https://github.com/dreamer8ful/bulk_sms_app/releases/download/v1.2/bulk_sms_v1.2.apk
u/ThatPhone3626 — 3 days ago