Life is funny.
Msee alikuwa Ana ni connect to hizi task amekuwa banned before we exchanged contact details. Any way kama ukonayo I'm very much interested in it.
u/YakOk7613 — 2 days ago
Msee alikuwa Ana ni connect to hizi task amekuwa banned before we exchanged contact details. Any way kama ukonayo I'm very much interested in it.
Kuna mtu akona gig or something naeza fanya, mimi biz yangu haija leta enough to cover rent, na napigiwa na mathe pipe ya maji ili burst wakati construction ilikuwa ina happen hapo kinoo Sasa maji ime mwagika na bill ATI ni 10k. Na hizi loan apps hazi saidi. Hii kitu inasumbua nimekaa hapa Niki vuruta nywele kwani hii maisha Ghaiii!!!