Hlw. Weekend wapi leo?😃🤗. wengi wetu tumekubaliana nahili la kwenda pugu kuenjoy na week end ya mwisho wa mwezi ni tarehe 26/9 ambayo ni j mosi . Kama upo interested mchango ni 48k hapa itacover usafir , kiingilio, chakula na picha plus video. If upo interest nitumie text inbox au nitext whatsapp