Struggling for space i paid good money ndo nisisumbuliwe
Mimi kuna time i was travelling from Nairobi tu Nyahururu so juu i had luggage ilibidii i paid something extra ndo nipande zile shuttles zikona specious seats alf nikajisetti huko backbench. Time mat inajaa some dad juu anadai kusave dooh akalipia one seat na akona kijana yake mdogo akakam kujisunda hapo nyuma. Kafala akaanza eti tusongeane ndo kajunior kakae plus bibi yake amekaa huko mbele comfortably na mind you i had a huge Tv on my lap. Alianza zile vako za oooh kijana yangu tusongeane nkasema zii alf katikati ya safari that guy akaanza kutumia nguvu akisema "Ww hunijui"🤣 na kuencroach on my space akajaribu kunishame kwa the whole mat juu nlikuwa nimeeka lock kwa mabega ndo asinisongeze🤣. Iyo experience was just funny coz sijawai bishana ivo na mzae mbigi🤣. Yani tulikuwa tunapigana maelbow hapo tukipimana nguvu😂. But good thing was sikugive in nlikanyangia ground hadi i had that mzae clicking thru out the whole journey🤣.