▲ 155 r/KenyanMeals
TUMBUKIZA TUESDAY
Senior Barchelor sai ndio nimeingia kwa mansion kama nimepika tumbukiza yangu safi. Wengi wanauliza nitaoa lini lakini swali bado ni jamo?
u/Evening_Age_9367 — 13 days ago

Senior Barchelor sai ndio nimeingia kwa mansion kama nimepika tumbukiza yangu safi. Wengi wanauliza nitaoa lini lakini swali bado ni jamo?
Unemployed ukifanya makosa kidogo umake eye contact na waru ni ivo.
Anybody who knows how to go about this issue?