

Fake Job
Nilikuwa nimehype juu nimepata online job. Waliniambia nilipie "activation fee." Nikalipa nikiexpect kuanza kazi. After hapo, blue ticks zikaisha, account ika-disappear. Nilikaa tu nikiangalia screen nikijiuliza nimefanya nini. Alinipeleka bafu akaniosha anyway later on tulipelekana telegram ananikomoa 800 yote
u/urbaon — 6 days ago