▲ 15 r/nairobi

Nikikumbuka niliita Morara Mr. President, najihurumia

Ile chocha watu wa mtandao walipea huyo kijana, hadi akaanza kuota akiwa statehouse😀😀😀

reddit.com
u/Sad-Alps-7303 — 30 days ago