Swali tuh
Huku ata kuna Mods kwelii,,,
Na kazi yao ni gani. And How can I become a Mod uku. Nmeona jamaa wanafarm tuh karma, wengine wanauza viatu. Mwingine anasema wasupa wa kakamega wako joto. Ama hii ni free space hakuna agenda?. Jamaa ata unaeza leta siasa iko tuh sawa?